1. Taarifa tunazokusanya
Tunaweza kukusanya jina, namba ya simu, email, taarifa za biashara, router na taarifa za malipo unazowasilisha wakati wa kutumia platform, dashboard au captive portal.
2. Tunazitumia kwa nini
Tunatumia taarifa hizi kufungua na kusimamia akaunti, kuunganisha routers, kuwezesha malipo na vouchers, kutoa support, kuboresha huduma na kuzuia matumizi mabaya.
3. Malipo
Taarifa za malipo hutumwa kwa mtoa huduma wa malipo ili kukamilisha ombi. FN90 haihifadhi PIN ya simu yako. Usimpe mtu PIN au password yako.
4. Taarifa za wateja
Client anaweza kuona taarifa za wateja wanaotumia huduma yake, kama namba ya simu, malipo na matumizi ya huduma. Client anawajibika kutumia taarifa hizo kwa madhumuni halali ya huduma.
5. Chat na support
Ujumbe wa chat unaweza kuhifadhiwa ili kutoa majibu, kusaidia kutatua tatizo na kuhamisha mazungumzo kwa support agent. Usitume password, PIN au taarifa nyeti kwenye chat.
6. Usalama na uhifadhi
Tunatumia udhibiti wa akaunti, sessions, access limits na hatua za usalama kulinda taarifa. Tunahifadhi taarifa kwa muda unaohitajika kutoa huduma na kutimiza wajibu wa kisheria.
7. Mawasiliano
Kwa swali kuhusu privacy au taarifa zako, wasiliana nasi kupitia ukurasa wa mawasiliano.
