Rahisi kusimamia
Dashboard moja ya kusimamia routers, bundles, vouchers, malipo na wateja wako.
FN90 Digital Connect
KUHUSU FN90 DIGITAL CONNECT
FN90 Digital Connect inasaidia biashara na maeneo ya umma kutoa Wi-Fi yenye kasi, malipo rahisi na huduma ya kuaminika kwa wateja wao.
Dashboard moja ya kusimamia routers, bundles, vouchers, malipo na wateja wako.
Anza na router moja, kisha panua huduma yako kwa maeneo na matawi mengi zaidi.
Wateja wako wanapata portal iliyo na malipo, voucher na njia ya kuwasiliana na support.
LENGO LETU
Tunachanganya teknolojia ya hotspot, usimamizi wa biashara na msaada wa karibu ili kila mteja aendelee mbele.