MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
Majibu ya haraka
ya FN90.
Jifunze kuhusu akaunti, router, vifurushi, malipo, voucher na captive portal.
Ninafungua akaunti ya client vipi?
Bonyeza Jisajili, jaza taarifa za biashara na admin, kisha thibitisha email na simu yako.
Naunganisha router vipi?
Baada ya kuingia dashboard, fungua Vifaa / Router, chagua aina ya router na fuata setup steps zinazoonyeshwa.
Client plans zinagharimu kiasi gani?
Starter ni TZS 15,000 kwa mwezi au TZS 180,000 kwa mwaka. Business ni TZS 20,000 kwa mwezi au TZS 240,000 kwa mwaka. Pro ni TZS 30,000 kwa mwezi au TZS 360,000 kwa mwaka.
Wateja wangu wanalipaje?
Wateja huchagua kifurushi kwenye captive portal, huweka namba ya simu na kuthibitisha ombi la malipo kupitia M-Pesa, Mixx/Yas, Airtel Money au HaloPesa.
Voucher inatumika vipi?
Mteja anaweka voucher code na namba ya simu kwenye portal, kisha anabonyeza kuwezesha voucher.
Ninaweza kubadilisha muonekano wa portal?
Ndiyo. Fungua Portal yangu kwenye dashboard kubadilisha jina, headline, tagline, icon, WhatsApp ya support na bundles.
Ninaongea na support agent vipi?
Tumia chat ya captive portal, WhatsApp ya portal au Mawasiliano > Msaada ndani ya dashboard ya client.
Malipo yamekatwa lakini internet haijaunganishwa?
Angalia payment status na reference yako, kisha wasiliana na client kupitia WhatsApp au chat ya portal kwa msaada.
BADO UNA SWALI?
