FN90 Digital Connect

KARIBU FN90 DIGITAL CONNECT

Intaneti yenye kasi zaidi.
Maisha bila kusimama.

Tunakuunganisha na Wi-Fi ya uhakika kwa biashara, maeneo ya umma na jamii yako.

99.9%Uhakika wa mtandao24/7Msaada wa wateja
Mteja akitumia FN90 Digital Connect Wi-Fi
⚡ Hadi 100 Mbps

Kasi ya kuaminika

Vifurushi vinavyokupa mtandao thabiti kila siku.

Rahisi kuunganishwa

Lipia kwa simu na anza kutumia huduma kwa urahisi.

Msaada wa karibu

Timu yetu iko tayari kukusaidia muda wote.

ROUTER LINKING PLANS

Chagua plan inayokua na biashara yako.

Lipa mara moja, unganisha routers zako, na simamia portal pamoja na bundles zote kwenye dashboard.

STARTER

TZS 15,000 / mwezi

TZS 180,000 kwa mwaka

Router 1 Kwa kuanza hotspot yako
  • Router 1
  • Dashboard ya kusimamia
  • Bundles zako mwenyewe
  • Malipo kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money
  • Msaada wa wateja 24/7
Anza sasa →

PRO

TZS 30,000 / mwezi

TZS 360,000 kwa mwaka

Router 20 Kwa mtandao unaokua haraka
  • Aggregator gateway yako binafsi
  • Router 20
  • Portal yako inayobadilika kikamilifu
  • Bundles zako mwenyewe
  • Usimamizi rahisi wa dashboard
  • Ripoti za mapato na wateja
  • Malipo kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money
  • Msaada wa wateja 24/7
Chagua Pro →

DIGITAL CONNECTIONS, MADE SIMPLE

Karibu kwenye mtandao unaokufanya uendelee mbele.

WhatsApp